HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 11, 2015

UCHAMBUZI WA MAGAZETI

TBC:Raisi Kikwete azindua mitambo ya gesi,ukawa waingia kiwewe, Nchimbi awananga ukawa,ukawa yagonga mwamba.Fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/DrGMIzEhnNc

STAR TV:Fuatilia uchambuzi wa magazeti ya leo October 11 uhabarike na mengi yaliyojiri katika kampeni za uraisi kuelekea uchaguzi mkuu. https://youtu.be/Q5BLIEaXKGk

CH10:Polisi yazuia mkutano wa mama Lowassa,CCM tutashinda, uraisi wa Dr.Magufuli na Lowassa watikisa dunia. Fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/UoE4KEL4OCI

AZAM TV: Taifa Stars kuikalisha Malawi leo? Simba yaifanyia umafia Mebeya City,Ferguson amsifu Mourinho.Tazama uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/jmzuOTHnyFs

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad