Kamera ya Mta kwa Mta yamnasa kijana akionesha umahili wake wa kuendesha Baiskeli jijini la Dar es Salaam.
Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika harakati zake za kutafuta matukio ilikutana na tukio la kijana jasho likimtoka na wananchi wamemzunguka baada ya kutaka kupeleka mkono wa nichukue au niache jijini Dar es Salaam.
Mnyororo huoo unaanza.
uwanja wa Taifa paleeeee
Gari la kutoa huduma (Breakdown) ya kubeba gari lililopata ajali leo jijini Dar es Salaam.
Kamera ya mtaa kwa mtaa katika harakati zake yakutana na mchepuko wa barabara eneo la karimjee jijini Dar es Salaam.
Mafundi wakiendelea na ukarabati wa barabara leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanue Massaka wa Mtaa kwa mtaa)




No comments:
Post a Comment