HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 8, 2015

MKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA MIPANGO YA SERIKALI WAFUNGWA

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Profesa Adolf Mkenda ( wa pili kushoto ) akimkabidhi cheti Msafiri Mpendu muda mfupi mara baada ya kufunga ya siku tatu  yaliyolenga kujenga uelewa juu ya mpango wa serikali wa kushirikisha sekta binafsi kushiriki katika miradi mikubwa  kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (kushoto ) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini Godfrey Simbeye, ( wa tatu kushoto ) ni Kamishna wa PPP Frank Mhilu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF),Bw.Godfrey Simbeye akisisitiza jambo kwenye mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uelewa wajasiriamali wakubwa na wakati juu ya mpango wa serikali wa kushirikisha sekta binafsi kushiriki katika miradi mikubwa  kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi ( PPP) mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki ya Dunia yalifungwa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad