Mjomba Mpama akiwa hoi bintaabani juu ya Kipando chake mara baada ya kupiga Pedeli za kutosha kwa Kilometa zisizo pungua Tisini na Tisaa (km.99).
Duu nilipo toka ni Mbali na ninapo kwenda ni mbali zaidi maana ninapo kwenda ni Kilometa Mia na kumi (Km.110) na nilipo toka ni Tisini na Tisa (Km.99) sijui ni rudi tuu maana Mama Mkwe anakaa mbali sana nae ndo tatizo hilo...
#Kamerayamtaakwamtaablog.



No comments:
Post a Comment