HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 6, 2015

WAKINA KIPALA WAZEE WA MSASA HAWA HAPA.

 Kamera yetu ya libeneke lako pedwa ilizama maeneo ya uyole kalibu na njia panda nsalaga na kuwakuta mahodari na wataalamu katika fani ya kung'arisha michuma mbali mbali wakina kipala  jijini mbeya wakishambulia gari moja kwa kupiga msasa wa nguvu kilingeni kwao.picha na mtaa kwa mtaa blog.
mambo yakiendelea kwa wakina kipala kucheza na maji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad