HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 17, 2013

hili bwawa hapa Tabata Barakuda ni la kufugia samaki wa aina gani???

Katika pita pita zangu za libeneke la Mtaa kwa Mtaa, nilijikuta nimeibukia eneo la Tabata Barakuda, jijini Dar na kukutana na Bwawa hili lenye muonekano mwanana kabisa wa kuhifadhia Samaki.lakini sikubahatika kupata kufahamu ni aina gani ya samaki wafugwao kwenye bwawa hili.msaada tutani kwa wakazi wa eneo hili kutujuza ili tufahamu.na ikifika siku ya kuvua pia mtuambie.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad