HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 26, 2013

BONDIA MOHAMED MATUMLA AIBUKA NA BODABODA BAADA YA KUMGALAGAZA BONDIA NASSIBU RAMADHANI

Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akimwadhibu Bondia Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika usiku wa sikukuu ya krismas na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9. Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda hiyo.
Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akipambana na Bondia Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9.
Kwa upande wa Masumbwi ya kina Dada,Bondia Lulu Kayage (kushoto) akipambana na Bondia mwenzake Mariam Abdallah wakati wa mpambano wao wa kusherehekea sikukuu ya krismas.Bondia Lulu Kayage alishinda kwa KO.
Bondia Hamis Ajari (kushoto) akipambana na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya krismas.Cheka alishinda kwa point.
Baadhi ya mashabiki waliouhulia mpambano huo uliokuwa mkali na wakuvutia.Picha na Super D Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad