HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 8, 2013

TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA KATIKA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimsikiliza Meneja Uhusiano wa TTCL,Bw. Amin Mbaga wakati alipotembelea banda hilo kabla ya kufunga maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam jana.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimkabidhi Meneja Uhusiano Bw. Amin Mbaga tuzo ya ushindi katika sekta ya habari na mawasiliano.
wafanyakazi wa TTCL katika Picha ya pamoja baada ya kupokea tuzo ya Ushindi katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam jana.
Wafanyakazi wa TTCL wakiwa ndani ya banda lao pamoja na tuzo ya ushindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad