Mkufunzi
wa Warembo wa Miss Kibaha, Rehema Uzuwiya (kushoto) akizungumza na
warembo wakati wa mazoezi yao ya pamoja yanayoendelea katika ukumbi wa
Vijana Kinondoni
Baadhi
ya Warembo wanaotarajia kushiriki kinyang'anyiro cha kuwania Taji la
Miss Kibaha 2013, wakiwa katika picha ya pozi wakati wa mazoezi yao
yanayoendelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment