Asalaam Alaykum Warahmatu llahi Wabarakatu
Ama Baada ya Salamu naomba Toa Shukran zangu za Dhati kwako Kaka Issa Muhidin Michuzi na Timu Nzima ya Blog hii ya Jamii Japo Nimechelewa kuwatakia Kheri ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani Wadau wote pamoja na Timu yako Naomba Pokea Salamu zangu na Tunamuomba M/Mungu azipokee Funga Zetu na Dua zetu kwa Ujumla.
Naomba Nita barouk kidogo ( Tupate barka ) kwa Pamoja kwa kukumbushana Siku hii Muhimu katika Siku ambazo Ndio zimeufanya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani kuwa Mwezi Mtukufu nayo Ni Siku ya LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO).
LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) NI USIKU AMBAO UNAPATIKANA NDANI YA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI NDANI YA KUMI LA MWISHO MTUME (S.A.W) LILIPOKUWA LIKIINGIA KUMI LA MWISHO ALIKUWA AKIZIDISHA IBADA KWA SANA NA KUWA AMSHA WATU WAKE ( ALHAL BAYTI ) KWA AJILI YA KUFANYA IBADA ZAIDI KATIKA KUMI HILO.
LAYLATU QADIR SI MWEZI 27 TU ILA WENGI WA WANACHUONI WAMEJITAHIDI KUWA HIYO NDIO SIKU YA LAYLATUL QADIR
SIKU HII INAPATIKANA NDANI YA MWEZI 21 , 23 , 25 , 27 , 29 , NI JUU YETU NDUGU ZANGU KUITAFUTA SIKU HII KWA KUFANYA
IBADA KWA WINGI NDANI YA KUMI LA MWISHO ILI M/MUNGU ATUWEZESHE KUIDIRIKI SIKU AMBAYO UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIEZI 1000 NA HUSHUKA MALAIKA NDANI YA SIKU HIYO KWA IDHINI YA M/MUNGU SUBHANAHU WATAALAAH.
UTUFUKU WA SIKU HII NI UNAPATIKANA KWA MAMBO MAKUU MAWILI KUTEREMKA KWA QUR AN ( MUNGOZO WA MUISLAM)
KUSHUKA KWA MALAIKA KWA IDHINI YA MOLA MTUKUFU.
NA IBADA YA SIKU HII UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIEZI 1000.
NI JUU YETU KUHAMASISHANA NAKUKUMBUSHANA KUWA SIKU HII SI SIKU MOJA NA MUHIMU SANA ILI KUPATA KUMUOMBA MUNGU NA KULIOMBEA TAIFA LETU NCHI YETU YA TANZANIA MUNGU KULIPA BARKA.
SIKU HII MUNGU AKIKUBARIKI KUIDIRIKI DUA YA KUOMBA NI HII KWA MAELEKEZO YA MAMA AISHA
alimuliza Mtume Jee? tukiidiriki LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) tufanye nini ? Mtume akajibu kithrisha kusema NASH-HADU ANLAA ILAAHA ILLA ALLAHU NASTAGHFIRULLAH NAS'ALUKAL JANNATA ILAAHI WANAUDHUBIKA MINA NNAAR ALLAHUMA INNAKA AFUWUN TUHIBUL AFWAA FA'AFUANNAA YAA KARIYMAL AFWU ". Kama alivyosema Mtume
MUNGU NDIYE MJUZI WA HII SIKU LAKINI INAPATIKANA NDANI YA KUMI LA MWISHO LA RAMADHANI.
Nakushukuru sana Kaka Issa wewe na Timu yako Mungu awabariki kwa ku - Post Ukumbusho huu Nawatakia kazi Njema.
Kwa Kumbusho zaidi utanipata katika Facebook kwa Id Name : Kijana wa Kiislam Dsm
au Twitter : Kijana wa Kiislam
Ghalib N Monero.
Al- Azhar University
Cairo Misri

Salaam Alaykum Kaka Samahani Naomba Sahihisho Dogo kuna Sehemu nimeandika Miaka 1000. naomba Tubadilishe iwe Miezi 1000/= SAMAHANI KWA USUMBUFU MUNGU AWABARIKI
ReplyDelete