Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwakaribisha viongozi wa Jukwaa la Katiba walipowasili ofisini kwake leo kujadili njia bora zaidi ya kuunda tume ya kukusanya maoni ya wananchi kwa ajili ya Katiba mpya ya Tanzania.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Jinsia nchini Bi Usu Mallya (kulia) na Mwenyekiti wa TAMWA Bi Annanilea Nkya wakichangia maoni kwenye uundwaji wa Tume hiyo. Kwa pamoja wanaharakati hao wamempongeza Spika kwa hatua aliyochukua ya kukutana na wadau mbalimbali na kuweka mwanzo mzuri wa ukusanywaji wa maoni
Viongozi wa Jukwaa la Katiba wakiongozwa na Mwanaharakati machachari Bw. Deus Kibanga (kulia)
Wajumbe wa TAHILISO
Wajumbe wa Jukwaa la Katiba wakimsikilza Mhe. Spika kwa makini
Viongozi wa mtandao wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (TAHILISO) wakifuatilia mjadala.

No comments:
Post a Comment