Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania,Sam Elangallor akionyesha moja ya picha zilizokuwa zikionyeshwa kwenye Screen (hapo pichani) kwa Wabunge wa Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliotembelea leo makao makuu ya Kampuni hiyo.

Waheshimiwa Wabunge wakifatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pindi walipotembelea leo.

Baadhi ya Maafisa kutoka Wizara ya Miundombuni.

Wafanyakazi wa Airtel wakifatilia mkutano huo kwa makini.

Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Miundombinu wakifuatilia mkutano huo.

Mkutano ukiendelea.


No comments:
Post a Comment