
katika pita pita zangu za Mtaa kwa Mtaa,leo niliibukia mitaa ya Tandale Uzuri na kukutan na kisa hiki ambacho mwanadada huyo aliekaa chini alijikuta akitembezewa kichapo na jamaa mmoja hivi ambaye aliingia mitini.kisa cha kutembezewa kichapo dada huyu,inasemekana ni kwamba alikunywa bia za mshkaji huyo alieingia mitini na kukataa kuondoka nae.hapo ndipo jamaa alipatwa na hasira na kuanza kumuangushia kichapo hicho hadi wasamalia wema walipoanza kukusanyika na kumfanya msela huyo kuingia mitini.hiki ndicho kisa cha Uswahilini leo.

Wasamalia wakijaribu kumstiri kwa mavazi baada ya yale ya kwake kuchafuka vibaya na kuchanika pia.

Msaada ukiendelea.

kina mama waliokuwepo eneo la tukio wakijaribu kumuinua mwanadada huyo aliekuwa ametembezea kichapo mchana huu.
Hahahahaaa kwani alikua hajui mla cha mwenzie na chake huliwa!!akome kupenda vya bure!
ReplyDeletekwa namna hiyo nafikiri itakua poa sana,hiyo inaitwa nipe nikupe jamani
ReplyDeleteVya. Bure vina madhara
ReplyDelete