Thursday, October 21, 2010

wanaume kazini

hizi ndio baadhi ya sifa anazopaswa kupewa mwanaume.kwani mwanaume siku zote ni kupiga kazi bila kujali ugumu wa kazi hiyoo.

1 comment:

  1. Enzi zangu nilikuwa napenda sana kazi hizi mpaka basi, na mpaka sasa natamani sana...ipo siku tu!

    CHIBI.

    ReplyDelete